Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
Nikusaidie kituTimu yoyote ikianza kufunga timu kadhaa kwa mfululizo lazima timu zingine ziingie mchezoni kwa hofu...
Vilevile timo yoyote ikianza kufungwa tu basi timu zingine zinapata ujasiri ziingiapo uwanjani....
Hivyo Yanga si kwamba ni timu Bora sana....noo ... ushindi wao ndiyo ilikuwa ngao yao.....
Wajipange upya kutetelesha timu pinzani
Utopolo mda wao wa kujidai ume expireWamepigigwaaaa haooo vyuraaa
Yanga ni timu nzuri na ya viwango, kuna ujinga tu unaendelea but the team is classic ingawa inahitaji kuwaondoa wachezaji fulani iwapeleke kwingine kwa mkopo au iachane nao mazimaBahati yenu tunaeleka international break (ndio pona yenuu) lasivyo mngeendelea kupelekewa moto mpaka mkubali timu yenu ya kawaida Sanaa
1. Hizi pancha za wachezaji wenu sio kwa bahati mbaya ni kutumika kwa mda mrefu bila kupata mapumziko ya kutosha
2. Bado pancha ya nzengeli TU naisubiria kwa hamu, hapo ndio itakuwa msibaa kabisa
3. Ni zamu yenu kuingia sokoni timu ikiwa kwenye presha kubwa tuone mtafanya Nini, naisubiria Sanaa kwa hamu kuona mnavyopotelea kusikojulikana
4. Fukuzeni kocha, mleteni mpya aanze kuwa fahamu wachezaji, mzidi kupoteza milele daima.
Mpira uheshimiwe
Bahati yenu tunaeleka international break (ndio pona yenuu) lasivyo mngeendelea kupelekewa moto mpaka mkubali timu yenu ya kawaida Sanaa

Asante sana mkuuNikusaidie kitu
Mpira kwa kiasi kikubwa inaongozwa na saikolojia kuanzia;
1.wachezaji
2.benchi la ufundi
3.uongozi
Timu inapopata matokeo mazuri saikolojia ya makundi tajwa hapo juu Huwa vizuri na kuifanya timu kuendelea kupata matokeo mazuri
Ila Sasa, timu inapokosa matokeo Kila kitu kinaharibika kisaikolojia na kinachotokea hapo ni kulaumiana kuanzia wachezaji, benchi na uongozi pia.
Kwa upande wa Yanga, kwa muda mrefu psychology Yao imekuwa positive, ila Sasa inaonekana wanaanza kupoteana na ni dhahiri hii itawa cost na kuwagharimu Sanaa mpaka kujua ku regain again.
Hata chama langu msimbazi hii tumepitia Sanaa.....hata Azam fc hii inawa cost sana zaidi ya misimu minne Wana shindwa kutoka.
Ila niamini Azam fc wakishinda hili la saikolojia niamini wataisumbua sana ligi yetu huko mbeleni ( nitakuja na Uzi wake mda si mrefu )
Hapo kwenye kuwaondoa ndio tiketi ya kupoteana mazimaYanga ni timu nzuri na ya viwango, kuna ujinga tu unaendelea but the team is classic ingawa inahitaji kuwaondoa wachezaji fulani iwapeleke kwingine kwa mkopo au iachane nao mazima
Hii niliona sehemu, hivi Kuna ukweli??
Okay karibuAsante sana mkuu
Ndicho nilikuwa namaanisha...morali
Bahati yenu tunaeleka international break (ndio pona yenuu) lasivyo mngeendelea kupelekewa moto mpaka mkubali timu yenu ya kawaida Sanaa
1. Hizi pancha za wachezaji wenu sio kwa bahati mbaya ni kutumika kwa mda mrefu bila kupata mapumziko ya kutosha
2. Bado pancha ya nzengeli TU naisubiria kwa hamu, hapo ndio itakuwa msibaa kabisa
3. Ni zamu yenu kuingia sokoni timu ikiwa kwenye presha kubwa tuone mtafanya Nini, naisubiria Sanaa kwa hamu kuona mnavyopotelea kusikojulikana
4. Fukuzeni kocha, mleteni mpya aanze kuwa fahamu wachezaji, mzidi kupoteza milele daima.
Mpira uheshimip
Mkuu, Kuna ukweli wowote kuwa jamaa Huwa Wana boost kabla ya kuanza second half??