Yanga ni wanyonyaji sana

Acha hela tafuta ujinga ndio mumlipe million 1.5 pumbavu.
Baadhi ya mashabiki wa simba mnastahili kabisa kuitwa mbumbumbu. Hivi ukiulizwa mishahara ya wachezaji wa timu yako, usikute hata huelewi!

Ila mishahara ya wachezaji wa Yanga, unaifahamu! Ukiulizwa ile bilioni 20 ya mwekezaji wenu iko wapi, huelewi!!
 
Feisal jinga kweli
 
Sielewi kweli mkuu ila sina haja ya kufuatilia hata hili ni kwasababu limewekwa wazi na baba mzazi wa muhusika hata baba yake kibu denis siku akilalamika nitarudi hapa.
 
Uzi wako umejaa majungu, unafiki na kujitoa ufahamu! Tangu lini/ni wapi ambako mtu anaajiriwa na mshahara mkubwa?

Mbona hutuambii na mishahara ya timu yako ya simba? Au huko kwenu mnawalipa wachezaji wenu mishahara ya kuanzia milioni 10?
Sijawahi kusikia mchezaji wa simba analalamika mshahara ila yanga kina feisal na bacca wamelalamika hata mchezaji wa simba akilalamika nitarudi hapa kuelezea.
 
Hivi leo hii ukimchukua mchezaji toka Malindi utamlipa mshahara kiasi gani mkataba wa kwanza?
 
Msemaji wa Yanga, hujawahi miliki hata biashara unabwajaja, kama 1.5m aliridhika na akaonyesha kiwango kile kwani umsemee kama sio Ukuda
 
Sijawahi kusikia mchezaji wa simba analalamika mshahara ila yanga kina feisal na bacca wamelalamika hata mchezaji wa simba akilalamika nitarudi hapa kuelezea.
Hii sababu yako ni dhaifu. Kwa hiyo kama hujawahi kusikia wachezaji wenu wa simba wakilalamikia hiyo mishahara, ndiyo uthibitisho wa wao kulipwa mishahara mikubwa?
 
Lengo letu limeshatimia la kuingia makundi kwa msimu hatuna kingine hata tukitolewa na kwa sasa tunachoangalia ni ball possession basi matokeo hayatuhusu

Alisikika Ally Kamwe
 
Siku zote mshahara hautoshi ni wewe kuamua kufanya kazi au kuacha
 
Kwanini kila wakati wachezaji wenye asili ya (kisiwani) wao ndio huanza kulalamika nakuona wananyonywa??
 

Umesajiliwa kutoka KmKm direct unataka apewe mkataba wa Milioni 5 ? Hapana
Mchezaji akidelivery ndio anaongezewa maslahi
Hata Bukayo Saka alikuwa akilipwa pesa ndogo pale Arsenal mpk alipo renew kandarasi mpya
 

Kinachokusumbua ni ujinga wa huko kwenu. Unafahamu maana ya mkataba? Did he sign his contract under duress? If the answer is no, shut your stinking mouth
 
Mbona hujaeleza malupulupu wanayopata wachezaji kama yapo je unajua baada ya kumpiga Simba mwanaukome wachezaji walipewa kiasi Gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…