Yanga pia baadhi ya wachezaji wanaumwa- NABI

mpiga vichwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
2,376
Reaction score
3,811
Kocha mkuu wa clabu Nabi , amesema baadhi ya wachezaji wa timu hiyo ni wagonjwa. Aidha , Nabi ametoa pole kwa club ya simba kufuatia wachezaji wa timu hiyo kuugua hali iliyopelekea mchezo wao na Kagera fc kuahirishwa.
Pole wachezaji wa timu zote mbili mliokumbwa na madhira hayo na Mungu awape wepesi mpone haraka ili muweze kuendelea na majukumu yenu.
 
Uwa nasema kilasiku Simba aijawai kushindwa vita.
Kuhairishwa kwa mechi mashambulizi yalianza kuilenga Simba,atimae Nabi katuliza maiti.
 
Aisee huu ugonjwa umekuwa serious
 
Uwa nasema kilasiku Simba aijawai kushindwa vita.
Kuhairishwa kwa mechi mashambulizi yalianza kuilenga Simba,atimae Nabi katuliza maiti.
Ngoja tusubiri wao watasemaje kuhusiana na hili.
 
Kocha mkuu wa clabu Nabi , amesema baadhi ya wachezaji wa timu hiyo ni wagonjwa. Aidha , Nabi ametoa pole kwa club ya simba kufuatia wachezaji wa timu hiyo kuugua hali iliyopelekea mchezo wao na Kagera fc kuahirishwa.
Pole wachezaji wa timu zote mbili mliokumbwa na madhira hayo na Mungu awape wepesi mpone haraka ili muweze kuendelea na majukumu yenu.
chanzo cha habari
 
Back
Top Bottom