Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Kwani ile sheria ya mchezaji kuchagua mechi ya kucheza iliishia kwa Ibrahim Ajib tu?
Kwa hiyo ilifutwa kimya kimya kama ilivyoingizwa kimya kimya na kuwa applied kwa mchezaji mmoja tu .ile sheria Yanga waliilalamikia ikafutwa. Kwa maana nyingine Yanga wameiponza Kagera
Kwa hiyo ilifutwa kimya kimya kama ilivyoingizwa kimya kimya na kuwa applied kwa mchezaji mmoja tu .
This is not a fair play game.
Mbona ni mambo ya kawaida tu, Yanga ilishafanya hivyo, Kagera walifanya hivyo kwa Simba na wakapewa point 3, Madrid walifanya hivyo na kutolewa kabisa ktk mashindano (Copa de Ley). Hapa tatizo liko wapi? Subirini maamuzi, hujaridhika kata rufaa.1. Kanuni za ligi hazitungwi kimya kimya, tena wanaotunga wanakuwepo na wawakilishi wa vilabu. Kwa lugha nyingine kanuni za ligi haziwezi kutungwa bila YANGA na SIMBA kushirikishwa, na huwa zinagawiwa kwa vilabu vyote kablya ya ligi kuanza
2. Haikufutwa kimya, wote tulisikia povu lililotolewa na Yanga baada ya Ajibu kuanza kuitumia sio wakati sheria inatungwa. Kitu unachopaswa kufahamu kanuni huwa zinatungwa kabla ya wachezaji kupewa kadi. Hili sijui kwa nini wengi hamtaki kuliona.
3. Ubaya wa kanuni unatakiwa kujadiliwa wakati inapotungwa sio wakati wa kutekelezwa
Wewe jamaa naona mnazi wa timu fulani tu ila ukweli ni kwamba ile kanuni ya mchezaji kuchagua mechi ilimnufaisha Ajib na timu yake ya simba tu vilabu vingine walikuwa hata hawajui na wala hawakupata waraka wa hiyo kanuni.1. Kanuni za ligi hazitungwi kimya kimya, tena wanaotunga wanakuwepo na wawakilishi wa vilabu. Kwa lugha nyingine kanuni za ligi haziwezi kutungwa bila YANGA na SIMBA kushirikishwa, na huwa zinagawiwa kwa vilabu vyote kablya ya ligi kuanza
2. Haikufutwa kimya, wote tulisikia povu lililotolewa na Yanga baada ya Ajibu kuanza kuitumia sio wakati sheria inatungwa. Kitu unachopaswa kufahamu kanuni huwa zinatungwa kabla ya wachezaji kupewa kadi. Hili sijui kwa nini wengi hamtaki kuliona.
3. Ubaya wa kanuni unatakiwa kujadiliwa wakati inapotungwa sio wakati wa kutekelezwa
Wewe jamaa naona mnazi wa timu fulani tu ila ukweli ni kwamba ile kanuni ya mchezaji kuchagua mechi ilimnufaisha Ajib na timu yake ya simba tu vilabu vingine walikuwa hata hawajui na wala hawakupata waraka wa hiyo kanuni.
So TFF wajiangalie katika hili hakuna anayepinga simba kupewa hizo point ila iwe fair kila mwenye malalamiko asikilizwe na kuwe na mifumo ya kidijitali ili iwe rahisi kutunza kumbukumbu kama hizi sio mpaka timu ilalamike. Hapa bodi ya ligi na TFF wanatakiwe wajue mchezaji yupi hastahiki kucheza kwenye mechi hii.