Yanga poleni jipangeni tena

Epec

Member
Joined
Oct 1, 2015
Posts
15
Reaction score
13
Ni kweli kwamba Mlicheza vizuri sana. Lakini mpira uko hivyo.
Cha msingi kazeni kwa ajili ya mwakani
 
Yanga tunaweza kufanya vizuri sana Africa kama tutapata tiba ya alleges za ki- Arabs
 
Poleni sana. Punguzeni mbwembwe kwa kuwa ilikuwa ni wazi kabisa msingeweza kimkalisha mmisri. Cc J. Muro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…