Yanga Princess wapanga kesho kukutana sala ya kwanza

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Kumekuwa na sintofahamu mitaa ya jangwani kwa timu hii ya wanawake baada ya kufungwa tena leo mabao la kwato la punda ,kwato la farasi mara mbili au bao la kitimoto Mara nne. Hii timu usiku huu wamekaa pamoja kesho asubuhi kwenda kanisani maana kuna sintofahamu labda laana na pigo kwa matendo Kama ya kina kabwili.


Kutoka viunga vya jangwani watu wamekuwa na hasira ,sintofahamu,mwaka zaidi ya nne wanapigwa za kusisimua na wanawake wenzao kutoka msimbazi.

Mapinduzi Zanzibar hainogi kw kilichotokea ,uongozi wa kaka zao leo umekaa kwa majonzi kwamba lazima mapinduzi turudishe heshima japo tutafungwa Ila tutapambana.
Kwa waliopo jangwani kesho mapema asubuhi tukutane kanisani maana si Hali ya kawaida.

Daima mwiko nyuma,mbele mwiko pia.
 
Hii miko wanayosokomezwa kila siku itawaaribu via vya uzazi. Waachane tu na mpira waingie kwenye fani yao ya ukabwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…