Yanga Sc 1 Vs 1 Township Rollers

Naona watani zangu hao wa zenj ali na mwenzie ndio wanacheza mpira
 
Wananchi mnataka mbereko ipi maana mnatutia aibu unakubalije mwanaume mzima kushikwa makalio ukiwa kwako na wewe unajiita ni baba wa mji
 
Kwanza mpira yanga tumecheza tofauti na msimu uliopita. Unajuwa ushabiki tuweke pembeni ila timu yenye 80% ya wachezaji wapya first eleven alafu kila siku unaona mabadiliko postive kwenye timu yako why shouldn't u be happy? Muimu mechi ya marejeano nyie mikia kuweni makini vinginevyo mtafungwa mpaka mfe.
 
Unasema tuweke ushabiki pembeni alafu bado unatuita mikia hizi akili za makande kabisa

Sio muimu ni muhimu chura wewe subiri waende machinjioni wakapigwe sisi tuna ndoto za kuwa mabingwa wa Afrika nyinyi mna ndoto gani vyura?
.
Mnaenda kupigwa majamaa yamemaliza mechi yakapeana pongezi kwamba si mmepewa penati mbili sasa kwetu tutapewa nne
 
semeni yote ila mikia lile sako la nyani mnalihofia..litasaka simba pori halitakalika
 
Nadhan Kandambili walikuwa msibani yaan mpaka dakika hii uzi uko page ya4 au sio wananchi jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…