Usinitie uchungu bas
Narudi siku si nyingiMaliza huko urudi
Hahaha, hii ni aibu kwa wananchi.
Narudi siku si nyingi
Nimecheeeeka lol. Mana naona umesahahu hadi nlichokwambia.Waooooo umerudi kweny uhalisia
Kwani nakumbuka nikumbushe dadaNimecheeeeka lol. Mana naona umesahahu hadi nlichokwambia.
Mdogo wangu nimeamua nirudi kwenye uhalisia Dada ako. ππππ
Na siku zimekwisha narudi mpendwaMaliza huko urudi
ππ nilikwambia ukirudi niambie. Ila si ndio tushazungumza kule simuni. Nimekuelewa.Kwani nakumbuka nikumbushe dada
Na siku zimekwisha narudi mpendwa
Oooh kuhus ile ishu poa nimekumbukaππ nilikwambia ukirudi niambie. Ila si ndio tushazungumza kule simuni. Nimekuelewa.
Sawa kakaRudi nyumbani kumenoga!