mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Hizi ndio mechi za makamboo
Jamaa ni nyota wa mechi za mchangani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahaha makambo yupo kwenye utawala wake sasa
Yaani hivi vilabu vya visiwani havina ushindani kabisa hilo nimeliona kwenye mechi ya leo ya simba japo at least wale view walikuwa bora kuliko hawa taifaSema ukweli hamna timu yoyote inaweza kuizdi nguvu vilabu vya bara ,hawa taifa wanaziwa hata na geita
Huo ndio ukweli ulio wazi, timu za zanzibar uwezo wao ni sawa na timu zetu za mitaani tu, Hata hao Geita umewapendelea sanaSema ukweli hamna timu yoyote inaweza kuizdi nguvu vilabu vya bara ,hawa taifa wanaziwa hata na geita
Sema ukweli hamna timu yoyote inaweza kuizdi nguvu vilabu vya bara ,hawa taifa wanaziwa hata na geita
Ndo maana nasema huu muungano ni kama bosheni tu, mambo mengi yanafanyika ambayo ukiangalia ynaonesha wazi kua ni nchi mbili tofautiHizi TFF ligii kuu Kwanini Haihusishi Vilabu vya Zanzibar na Wote ni Nchi Moja na Sisi Tunatumia Tanzania? Atleast wangekuwa na Timu za Maana mbona kama tunajitenga?
Michezo haiko miongoni mwa mambo ya muunganoNdo maana nasema huu muungano ni kama bosheni tu, mambo mengi yanafanyika ambayo ukiangalia ynaonesha wazi kua ni nchi mbili tofauti
Bocco Kashindwa kufunga hata hawaHahahaha makambo yupo kwenye utawala wake sasa
Huyu dogo anaujua mpira inavyoonekana kuliko hata ambundo. Yanga wampe nafasi tuYaani Huyu Denis Nkane Angeenda Hata Azam angefika Mbali
Vitu vingi tu hata nje ya michezo ukiangalia hai relate na hii dhana ya muungano kabisaMichezo haiko miongoni mwa mambo ya muungano
wawa alifunga, refa kasema offsideBocco Kashindwa kufunga hata hawa