huyu jamaa akiombwa ndogo sijui kama atakataa
We kama sio shoga uko tayari kushimwa manyonyo na dumeUshabiki na unazi wa mpira wa simba na Yanga unaoelekea tunakosa staha na adabu kwa watu wa mpira wa hizi timu mbili
Naweza nikamsema mtani wangu kwa kila kitu ila sio kwa kumtuhumu ni shoga, ni kashfa mbaya sana labda kama ww ndio huwa unamfi........ra
Naomba tusifike hatua mbaya kiasi hiki kama Great thinkers wa Jamii forum coz mpira ni mchezo wa furaha, burudani na amani tukiongeza na utani usiwe wa kiwango wakuu
Ni hatua mbaya sana kuujadili ushoga kama utani wa hizi timu zetu
Sijapenda kwakweli
Ok sawaWe kama sio shoga uko tayari kushimwa manyonyo na dume
AstaghafirulahAnaona raha kutomaswa manyonyoView attachment 2072385
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Huyo mwanaume mwenzio akikusimamia nyuma kwenye daladala lazima umpe kibega uwezi kusima kama mlingoti,, sembuse ukumbatiwe huku unashikwa manyonyo,, kabwili kafumuliwa live bila chenga, wanaoharibu taswira ni watu wa yanga mkuu na ndio maana kabwili hajakanusha mpaka leoUshabiki na unazi wa mpira wa simba na Yanga unaoelekea tunakosa staha na adabu kwa watu wa mpira wa hizi timu mbili
Naweza nikamsema mtani wangu kwa kila kitu ila sio kwa kumtuhumu ni shoga, ni kashfa mbaya sana labda kama ww ndio huwa unamfi........ra
Naomba tusifike hatua mbaya kiasi hiki kama Great thinkers wa Jamii forum coz mpira ni mchezo wa furaha, burudani na amani tukiongeza na utani usiwe wa kiwango wakuu
Ni hatua mbaya sana kuujadili ushoga kama utani wa hizi timu zetu
Sijapenda kwakweli
Aya sawaHuyo mwanaume mwenzio akikusimamia nyuma kwenye daladala lazima umpe kibega uwezi kusima kama mlingoti,, sembuse ukumbatiwe huku unashikwa manyonyo,, kabwili kafumuliwa live bila chenga, wanaoharibu taswira ni watu wa yanga mkuu na ndio maana kabwili hajakanusha mpaka leo
Aya sawaTunapowaumbua hawa siyo tunapromote ushoga wao bali tunakemea ushenzi huu ni dhambi na chukizo kwa Mungu, wewe unayetaka kufumbia macho mambo haya shauri yako mwenye.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Jamaa anatabia za kichoko mkuu,Ushabiki na unazi wa mpira wa simba na Yanga unaoelekea tunakosa staha na adabu kwa watu wa mpira wa hizi timu mbili
Naweza nikamsema mtani wangu kwa kila kitu ila sio kwa kumtuhumu ni shoga, ni kashfa mbaya sana labda kama ww ndio huwa unamfi........ra
Naomba tusifike hatua mbaya kiasi hiki kama Great thinkers wa Jamii forum coz mpira ni mchezo wa furaha, burudani na amani tukiongeza na utani usiwe wa kiwango wakuu
Ni hatua mbaya sana kuujadili ushoga kama utani wa hizi timu zetu
Sijapenda kwakweli
Na Kabwili alisema hakuwa peke yake huko Utopolo,kawaacha wenzake tisa ndiyo maana siku hizi Yanga inaitwa Mpalange FC.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
huyu jamaa akiombwa ndogo sijui kama atakataa
Utopolo kapita kwa goal difference.
Hapana mkuu,, shobo zikizidi unakuwa uchoko, wewe utamkumbatia vipi mwanaume mwenzio kixenge namna ile kisa tu uchawa kwa kuwa ye ndo alokuleta pale yanga,, hata kama ni njaa ni bora tu nirudi kwetu mzenga nikalimie mihogo lkn sio kujikomba kwa mwanaume mwenzio kisa tu hela,,, mbona msola hamkumbatii vile mwakalebela, bumbuli, mkifirwa etc. Njaa ukiiendekeza kufihlwah rahisi sana,, na hii yote ni kutaka kutafuta impact kwa mashabiki wa yanga ili aonekane anaipenda sana timu wkt mnafiki tu kadi ya simba anayo na hajairudisha,,..Kwa msio ma akili, ushabiki umekuwa uadui. Ni kupeana machukizo tu
IN SHORT, NI USHAMBA TU...Ushabiki na unazi wa mpira wa simba na Yanga unaoelekea tunakosa staha na adabu kwa watu wa mpira wa hizi timu mbili
Naweza nikamsema mtani wangu kwa kila kitu ila sio kwa kumtuhumu ni shoga, ni kashfa mbaya sana labda kama ww ndio huwa unamfi........ra
Naomba tusifike hatua mbaya kiasi hiki kama Great thinkers wa Jamii forum coz mpira ni mchezo wa furaha, burudani na amani tukiongeza na utani usiwe wa kiwango wakuu
Ni hatua mbaya sana kuujadili ushoga kama utani wa hizi timu zetu
Sijapenda kwakweli
Mimi si shabiki wa hizi timu mbili za Kariakoo, lakini niwe fair, mashabiki wa Simba wa JF Wana tatizo kubwa la uelewa ukimwondoa NAWATAFUNA. Ni huyu pekee unaweza kubishana naye masuala ya soka ukapata kitu. OKWI BOBAN SUNZU alikuwa vizuri awali, siku hizi sijui karogwa na kina Scars wasiojua chochote basi naye kawa kama shabiki maandazi. SALGANO naye ni kajipoteza kwenye kundi la Wahuni. GENTAMYCINE namhifadhi kutokana na mahusiano yaliyopo Kati yangu na yeye na tuna mkataba wa kutosemana Kwa lolote. Mshana Jr anabaki katika orodha ya wanaojua nini wanafanya, yeye na Shadeeya ni mashabiki hasa.IN SHORT, NI USHAMBA TU...
Tena ni ushamba uliokubuhu!!
Huwa nashangaa sana watu mpo kwenye mijadala ya soka, halafu mwingine anatokea na kuanza matusi... as if hiyo Simba au Yanga ni timu ya babake!!
Wakati Michezo duniani inatumika kama nguzo ya kukutanisha watu wenye mitazamo tofauti, wengine wanadhani michezo ni uadui!!
Naweza kuamini maneno yake, labda sifahamu vizuri kwa sababu huwa siingii mara kwa mara kwenye hili jukwaa!! Lakini sitasahau siku, kuna member mmoja sikumbuki ID yake, niliongea jambo la kawaida kabisa... wacha aanze kumwaga matusi, tena matusi yale yale "haramu" kumtamkia mwanaume!!Mimi si shabiki wa hizi timu mbili za Kariakoo, lakini niwe fair, mashabiki wa Simba wa JF Wana tatizo kubwa la uelewa ukimwondoa NAWATAFUNA. Ni huyu pekee unaweza kubishana naye masuala ya soka ukapata kitu. OKWI BOBAN SUNZU alikuwa vizuri awali, siku hizi sijui karogwa na kina Scars wasiojua chochote basi naye kawa kama shabiki maandazi. SALGANO naye ni kajipoteza kwenye kundi la Wahuni. GENTAMYCINE namhifadhi kutokana na mahusiano yaliyopo Kati yangu na yeye na tuna mkataba wa kutosemana Kwa lolote. Mshana Jr anabaki katika orodha ya wanaojua nini wanafanya, yeye na Shadeeya ni mashabiki hasa.
Uko Sawa kabisa, kuna watu humu kisoka wako shallow Sana lakini wanatumia matusi kujitutumuwa waonekane na wao wanajua.Naweza kuamini maneno yake, labda sifahamu vizuri kwa sababu huwa siingii mara kwa mara kwenye hili jukwaa!! Lakini sitasahau siku, kuna member mmoja sikumbuki ID yake, niliongea jambo la kawaida kabisa... wacha aanze kumwaga matusi, tena matusi yale yale "haramu" kumtamkia mwanaume!!
Yaani hadi leo najiuliza ikiwa yule jamaa ana akili sawasawa au vipi! Mara zote nimekuwa nikiamini mijadala ya kisoka na utani wake is just for funny lakini unashangaa from nowhere mtu anaanza kuongea vitu vya ajabu! Wapo wapuuuzi wengine wanaoweza kufikia hadi kukutukania mama yako mzazi wakati mjadala uliopo ni wa soka!
mambo anayofanya Haji nanafanya live, tabia gani hiyo ya kukumbatia wanaume kimahaba ukiwapapasa vitambiKwa msio ma akili, ushabiki umekuwa uadui. Ni kupeana machukizo tu
unajua kama mtuhumiwa alishawahi tuhumu wengine ushoga na kejeli zisizo koma. malipo ni hapa hapaUshabiki na unazi wa mpira wa simba na Yanga unaoelekea tunakosa staha na adabu kwa watu wa mpira wa hizi timu mbili