Daah yani hii mechi sijui tutashinda kweli kwa namna hii au tusubiri kipindi cha piliNaziona dalili za mwananchi kupasuka hapa!
Wacha tusubiri!Daah yani hii mechi sijui tutashinda kweli kwa namna hii au tusubiri kipindi cha pili
Hilo nimeling'amua pia, wazenji wana ufundi wa asili miguuni mwaoZawadi mauya kapigwa kanzu, ni kawaida kanzu kama hizi kuziona zenji
Uto tusishindane na Sakho,tutakula hasaraSure boy kupakapaka rangi mpira kumefanya atoe pasi fyongo baada ya kuzongwa na mchezaji wa kmk
Tupo kuwafanyia majaribioHersi tafuta bahasha fasta, Utopolo tunaaibika
Aaah yule jamaa mechi zake akiwa anacheza bora hersi asiwe anaangalia maana atapata sababu nyingi za kufukuza wachezaji wetuUto tusishindane na Sakho,tutakula hasara