Yanga Sc 2-2 KMKM | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Manara yupo jukwaani na chombo chake pamoja na nugaz pia
 
Haji manara namuona jukwaa moja na hersi hapa
 
Kama sure boy mwenyewe ndo huyu, basi yanga wamepigwa
 
Hahahahaha ila hawa KMK jamani sijui, ila hofu yangu wakitufunga tu itakuwaje yani
 
Ila mauya asingekua makini alikua anakioga cha pili pale pale.
 
Dakika moja ya kunywa maji imeisha now wachezaji wamerejea uwanjani kuendelea na mchezo
 
Hivi hii ni yanga au buguruni united ??
 
Kmk wameupiga mwingi zaidi kuliko yanga, ngoja nione statistics za azam
 
Kibendera mzee wa offside namuona hapa
 
KMK wanapata kona ya 4 dakika ya 36
 
Yanga tunafanikisha kuondosha mpira kwenye eneo la hatari na kutoa nje na unakuwa wa kurusha
 
Jamani mbona hatuambiani wananchi wenzangu kumbe na feisal yupo na hamsemi?
 
Kaze analeta utemi kwa refa
 
Kwanini mechi za yanga na simba zikichezwa huku zenji offiside zinakuwa nyingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…