Yanga Sc 2-2 KMKM | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Yanga Sc 2-2 KMKM | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Eeeeh Ambundo kakosa goli la waI hata kama ilikuwa offside ila jamaa kapaisha yeye na goli kipa
 
Hawa madogo kwa kikosi hiki hatuwafungi labda aingie jaji tiganga kipindi cha pili ndio tutafunga
 
Makambo kaitanguliza yanga goli la kwanza huku dakika 3 za nyongeza zimeongezwa kuelekea kumalizika kipindi cha kwanza
 
Azam media ni wapumbavu, picha inascratch
 
Bado madogo wapo kwenye utulivu
 
Kwanini timu za Zanzibar hazichezi ligi kuu ya Tanzania?
Katiba haijataja Michezo kuwa ni sehemu ya mambo ya Muungano.

Hivyo hata hili kombe la Muungano timu zinashiriki kwa kuteuliwa tu, Timu inaweza kukataa kushiriki na maisha yakaendelea.
 
Ila tukubali tukatae, timu za Zanzibar ni dhaifu sana.
 
Napenda namna utamaduni wa mpira wao ulivyo

Hakuna kubutua
Ila ndo hivyo, timu zao ni dhaifu mno. Timu kama namungo ukiileta kwenye ligi ya Zanzibar itachukua ubingwa back to back.
 
Goli la makambo

 
Back
Top Bottom