Yanga Sc 2-2 KMKM | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Yanga Sc 2-2 KMKM | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Mauya ameoga kidali cha maana sana hapa.
 
Zawadi mauya kapigwa kanzu, ni kawaida kanzu kama hizi kuziona zenji
 
Sure boy kupakapaka rangi mpira kumefanya atoe pasi fyongo baada ya kuzongwa na mchezaji wa kmk
 
kmk wanapata kona ya 3 huku yanga hatujapata hata kona moja
 
Makaambooooo.....aaaah ni offtarget


Naona sasa Makambo kairudia asili yake
 
Hali ikiendelea hivi tutarajie kuona full squad ya first eleven ya yanga kipindi cha pili
 
haya wananchi tumepata kona ya kwanza hapa
 
Kona imekuwa haina madhara na mpira ushaondoshwa kwenye hatari
 
Kuna mchezaji wa yanga alitaka kufakisha hapa kwa kuifungia kmk goli la kuongoza
 
Denis nkane anakabika kiubua sana humu
 
Nimependa boxer alivyo uwahi ule mpira ambao kila mmoja alikata tamaa kuwa unatoka na kuwa goal kick
 
Back
Top Bottom