Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa ni la beki Jecha wa KMKM hakukaba alitaka akabe nani?Akaruhusu cross kwenda golini
Na ufundi wa makambo nao uzungumziwe maana angekuwa mwingine aliweza kuukosa ule mpiraKosa ni la beki Jecha wa KMKM hakukaba alitaka akabe nani?Akaruhusu cross kwenda golini
Endelea kutoa updates, mpira umepoa nimeona bora nilale tuKipindi cha pili kimeanza!
Naona kama ndiyo mpango waoutopolo wanataka kutukwepa au?
Afadhali na wewe umejionea, huyo jamaa anakuzwa na kupewa sifa ambazo hana.Dah! Kumaanisha mrithi wa kibuyu cha diara ni afadhale ya pazia?
lile goli kipa angefanyaje? unajua mpira kweli weweDah! Kumaanisha mrithi wa kibuyu cha diara ni afadhale ya pazia?