Yanga Sc 2-2 KMKM | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Yanga Sc 2-2 KMKM | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Kupitia uzi huu nimegundua makolo wengi tunaifuatilia Yanga kuliko tunavofuatilia timu yetu
 
Utopwenga wapewe penalty bwana au wachunge sana wasiongezwe goli , tunawataka fainali.
 
Paul Godfrey hastahili kuwa mchezaji
 
haaaa wamesawazisha!!!!!!! aiseee nilikuwa mbali kabisa na screen ebu nione imkuwaje kuwaje
 
Back
Top Bottom