Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasira yanini sasa! Tufanye cjui mpira basi! Usilete ujuaji wakijinga hapa! Nini maana ya utani wajadi?lile goli kipa angefanyaje? unajua mpira kweli wewe
hakuna msimba wa kujiita kolo,we ni utopolo tuKupitia uzi huu nimegundua makolo wengi tunaifuatilia Yanga kuliko tunavofuatilia timu yetu
Mimi ni Simba damu, wewe kolo acha kunichagulia timuhakuna msimba wa kujiita kolo,we ni utopolo tu
Sawa kolo, ngoja nije nikuchomolee mwiko.Mimi ni Simba damu, wewe kolo acha kunichagulia timu
ile ni penati kabisa, beki kahatarisha maisha ya mtuPenati ile,refa anazingua
Nadhani maelekezo ni kuacha Yanga ikutane na Simba Sc fainali ili mashindano yasiishe vibaya.Penati ile,refa anazingua
Wew ni kolo usiejitambua, watu km wewe ndio mwenyekiti wetu mstaafu Ndugu Aden Rage aliwaita mbumbumbuSawa kolo, ngoja nije nikuchomolee mwiko.
Tangu mechi ya kwanza alionekana, yeye pamoja na yule chura mwingine (Ninja) wanapaswa kuwa jukwaa moja na akina Cheka.Paul Godfrey hastahili kuwa mchezaji
Mapato yatapunguaPenati ile,refa anazingua