NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,981
- 3,475
Mkuu nikumbushe ni lini simba au Yanga alipoteza kipolo.kwamba ukiwa na kipolo basi ni guarantee ya ushindi ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nikumbushe ni lini simba au Yanga alipoteza kipolo.kwamba ukiwa na kipolo basi ni guarantee ya ushindi ??
Kuwa na kipolo haimaanishi utashinda, ni namna timu ina perform uwanjani nkMkuu nikumbushe ni lini simba au Yanga alipoteza kipolo.
Mkuu rejea swali tafadhali.Kuwa na kipolo haimaanishi utashinda, ni namna timu ina perform uwanjani nk
Wasiwasi wangu ni kwamba tunaweza tukawa tumeshamkosa huyo [emoji23]
Jaribu kuishi maisha kwenye uhalisia wake, acha kukalili.Mkuu rejea swali tafadhali.
Utopolo kapita kwa goal difference.Mnaocheki mechi tupeni mrejesho nini kinaendelea?? Ni wanaenda matuta ama ??
Mara paap mikia wamekojolewa huko utafuta hii?Nilisema hapa utopolo bado sana level za Simba Sc na waache matumaini ya ubingwa vinginevyo watalia sana mwishoni hao vyura!
Sijajua lengo lake lilikua ni nini pale kumvuta hersi shingo huku akipeleka mdomo wakeWasiwasi wangu ni kwamba tunaweza tukawa tumeshamkosa huyo [emoji23]
Ooh thanks God, lambalamba ni chakula yetu atalambwa tu na fainali tutakutana na Namungo.Utopolo kapita kwa goal difference.
Kabwili mwenyewe alisema kawaacha wengi sana hapo utopoloni.Sijajua lengo lake lilikua ni nini pale kumvuta hersi shingo huku akipeleka mdomo wake
Yaani kaniacha na maswali mengi, nimefikiria na kuwaza naona kama kabwili alionewa tu
Basi huu muungano una matatizoKatiba haijataja Michezo kuwa ni sehemu ya mambo ya Muungano.
Hivyo hata hili kombe la Muungano timu zinashiriki kwa kuteuliwa tu, Timu inaweza kukataa kushiriki na maisha yakaendelea.
Just kwa kuwa michezo sio suala la Muungano?Basi huu muungano una matatizo
Just kwa kuwa michezo sio suala la Muungano?