Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Ushabiki na unazi wa mpira wa simba na Yanga unaoelekea tunakosa staha na adabu kwa watu wa mpira wa hizi timu mbili
Naweza nikamsema mtani wangu kwa kila kitu ila sio kwa kumtuhumu ni shoga, ni kashfa mbaya sana labda kama ww ndio huwa unamfi........ra
Naomba tusifike hatua mbaya kiasi hiki kama Great thinkers wa Jamii forum coz mpira ni mchezo wa furaha, burudani na amani tukiongeza na utani usiwe wa kiwango wakuu
Ni hatua mbaya sana kuujadili ushoga kama utani wa hizi timu zetu
Sijapenda kwakweli