Yanga sc 3-1 Ruvu shooting | ligi kuu | Benjamin Mkapa

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Mechi Ya Yanga dhidi ya Ruvu Shooting haijawahi kumalizika bila goli katika mechi nane za ligi kuu walizokutana tangu msimu wa 2017/18. Yanga imeshinda mechi sita, sare moja na kupoteza mara moja na ushindi siku zote umekuwa ni wa tofauti ya goli moja.

Yanga amefunga Jumla ya Magoli 13, Fuvu Shooting Goli 8, Jumla Kwa michezo yotr ni Goli 21

Je, Leo Itakuwaje?

Ni saa 12 : 15 Jioni Ya Leo

====

Mpira umeisha uwanja wa Benjamin Mkapa Yanga ikishinda dhidi ya Ruvu Shooting magoli 3-1.

Ruvu Shooting imecheza pungufu sehemu kubwa ya mchezo baada ya mchezaji wake kupewa kadi nyekundu na pamoja na kutangulia kuliona lango la Yanga imeshindwa kupata matokeo chanya mwisho wa mchezo.
 
Yanga wanafungwa SAA mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…