Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
hii kweli Barcelona ya bongo. Wanacheza mpira mkali sana.Hawa Ruvu wamechokoza vita na hatutawaacha
Tunataka magoli... Vingine mbwembwehii kweli Barcelona ya bongo. Wanacheza mpira mkali sana.
Haitaongeza kitu kwa mikia mkuu... Maumivu yatabaki palepaleYani nyie uto muombe mshinde leo ila matokeo yakiwa hivi mtalikimbia jukwaa leo daadeeq zenu
Asingetoa Kadi nyekundu ndo ungemshangaa. Faulo ya second last defender Kwa forward ni red card TuDah refa kabugi
naunga mkono hoja.Asingetoa Kadi nyekundu ndo ungemshangaa. Faulo ya second last defender Kwa forward ni red card Tu
Wayaaa
Tatizo maneno yatakuwa mengi sana kwa Mwijaku fcAsingetoa Kadi nyekundu ndo ungemshangaa. Faulo ya second last defender Kwa forward ni red card Tu
Goal kali
Sahihi.Fei toto hatakiwi kucheza bongo. Akukakakate akukakate waooh
Tatizo maneno yatakuwa mengi sana kwa Mwijaku fc
1-1Nani Kafungwa wengine tunategenea Matokeo kutoka JF
Aiseee Masau Bwire kama namuona.#NBCPLUpdates
11'
Young Africans 0️⃣-1️⃣ Ruvu Shooting
#NBCPremierLeague
@NBCTanzania @tplboard @Tanfootball azamtvtz @TBConlineTZ