Yanga sc 3-1 Ruvu shooting | ligi kuu | Benjamin Mkapa

Nani Kafungwa wengine tunategenea Matokeo kutoka JF
Dk ya 41 mabao ni 1 kwa 1! Ruvu shooting wako pungufu baada ya mchezaji wao kumchezea Mayele rafu huku akiwa ni mchezaji wa mwisho.
 
Alianza RVS
yanga kachomoa kupitia fei toto kwa shuti kali
Kiasi kwamba kipa aliona moto tu
Hii mechi Manula ndiyo angekuwa ni golikipa wa Ruvu Shooting, angekuwa ameshatundikwa goli 3!

Ila huyu Mohamed Makaka, sijui amepata wapi upako wa kuokoa magoli ya wazi kiasi hiki!
 
Refa wakwao, iwe jua iwe mvua yanga itashinda tu na kea kuthibitisha hilo refa kaanza na red card
Nyie mlivyokuwa mnapewaga mipenati na timu pinzani kupewa nyekundu, je refa anakuwaga wa kwenu?
 
Fiston mayele anajitutumua kwa kutafuta mabao ili atengeneze record ionekane kila mechi kafunga, hiyo inachangia kuwa mnyimi wa pasi
 
3:1 au 4:1 Utopolos wanashinda kwa kubebwa na Refa na kadi nyekundu ya kujitakia kwa Ruvu Mpapaswa.
 
Kipindi cha kwanza kimeisha mayele kapoteana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…