Kwahiyo na nyie leo mmepata mbeleko ya kadi?Dk ya 41 mabao ni 1 kwa 1! Ruvu shooting wako pungufu baada ya mchezaji wao kumchezea Mayele rafu huku akiwa ni mchezaji wa mwisho.
Humjui mpiraRefa wakwao, iwe jua iwe mvua yanga itashinda tu na kea kuthibitisha hilo refa kaanza na red card
Utaumia Sana mwaka huuAucho ni overrated
wapo vzr sema kuwa pungufu kutawagharimuBora maana Bwire angeongea sana na misimu yake ile.
Kuna Aucho mle ndani?Aucho ni overrated
Sawa NabiHumjui mpira
Kalazimisha saves mbili,kasababisha kadi nyekundu,unasema kapotea!!!Kipindi cha kwanza kimeisha mayele kapoteana
Ok, kipa anatumia macho kiona sio?Alianza RVS
yanga kachomoa kupitia fei toto kwa shuti kali
Kiasi kwamba kipa aliona moto tu
Hapa umejitokeza kama doctor, pale juu kama kochaUtaumia Sana mwaka huu
Mpira unasimuliwa au. Aucho hayupo leoAucho ni overrated
Sasa kwa faulo ile ya beki wa mwisho ulitaka refa afanyaje? Na sheria inasemaje?Refa wakwao, iwe jua iwe mvua yanga itashinda tu na kea kuthibitisha hilo refa kaanza na red card
Fatilia hiyo convoMpira unasimuliwa au. Aucho hayupo leo
Kazi ya striker ni kufanya nini?Fiston mayele anajitutumua kwa kutafuta mabao ili atengeneze record ionekane kila mechi kafunga, hiyo inachangia kuwa mnyimi wa pasi
Uzuri hao.manyani hawaja wahi mfunga manula.goli zaidi ya moja kwenye mechi mlizokutana naeHii mechi Manula ndiyo angekuwa ni golikipa wa Ruvu Shooting, angekuwa ameshatundikwa goli 3!
Ila huyu Mohamed Makaka, sijui amepata wapi upako wa kuokoa magoli ya wazi kiasi hiki!
Afanye fair kama alivyo peta penalty ya azam siku ile kwa kutafsiri kua ni fair challengeSasa kwa faulo ile ya beki wa mwisho ulitaka refa afanyaje? Na sheria inasemaje?
Hata ikiwa goli moja linahesabika ni goli tuUzuri hao.manyani hawaja wahi mfunga manula.goli zaidi ya moja kwenye mechi mlizokutana nae
Kumbe afanye fair...basi sawa mkuuAfanye fair kama alivyo peta penalty ya azam siku ile kwa kutafsiri kua ni fair challenge
kadi nyekundu ni mpango wa kando3:1 au 4:1 Utopolos wanashinda kwa kubebwa na Refa na kadi nyekundu ya kujitakia kwa Ruvu Mpapaswa.
Yeye kasema ingekua manula leo angekula nyingi ndipo nikamkumbusha sawa. Ila ajabu tuna walaga 5 na 4 manula akiwepo ndaniHata ikiwa goli moja linahesabika ni goli tu
Kwenye mpira hususani ukiwa uwanjani yeyote anaweza akafunga na yeyote anaweza akazuia kulingana na circumstancesKazi ya striker ni kufanya nini?