GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na hata jina jipya la kumuita Jonas Mkude 'Homeboy' badala ya lile la 'Nungunungu' alilolipatia akiwa Simba SC alimbatiza yeye.
Cha Kushangaza tokea GENTAMYCINE atoboe siri ya Mkude kutoweka Kambini Avic Town Kigamboni huku akiwazimia simu Vingozi na watu wengine kutambaa nayo huku wapuuzi fulani (hapa JamiiForums) wakidhani nimedanganya na kukurupuka nayo.
Hivi sasa ukitaka ufokewe au utukanwe na Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe wewe thubutu tu kumuuliza Mchezaji Mkude yuko wapi.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Kudadadeki....!!