Yanga SC imekula kwenu mbona goli la mkono la amisi tambwe mlikaa kimya?

kimarabucha

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
791
Reaction score
621
Yanga mmeumia sana na Ushindi Wa Simba DHIDI ya Mbeya city.Mbona Goli la mkono la AMISI TAMBWE macho ya Simba vs Yanga hamkupiga KELELE? Kateni RUFAA basi. Kubalini Matokeo Simba 1 Mbeya City 0
 
Umeona wanavyowashwaaa? Hapo mbeya city hata hawalalamiki wanalalamika vyura.
 
Kiongozi yupi wa yanga kalalamika hilo goli?
 
Simbaa weraaaaà.....ngoja manara awalipue wachuuzi hawa
 
Kwani kulalamika mpaka awe kiongozi? TAMBWE aliupakata mpira mkashangilia usiku kucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…