Mbumbumbu Kwan hamjui kuwa zote hizo zpo chini ya CAFMada inapaswa iishie hapa maana mleta uzi alikuwa anaandika akidhani Yanga imeshiriki Ligi ya Mabingwa wa Afrika, lakini ukweli ni kwamba Yanga ilitolewa hatua za mapema katika Ligi ya Mabingwa wa Afrika, na michuano inayoshiriki ni mingine kabisa, wala sio ya Mabingwa wa Afrika
Pole sana Mbu mbu mbuMsimalize maneno, "Hizi timu Zina Homa Za vipindi" kama mnavyojua wawekezeji wa mpira Bongo siyo wa kuaminika.
In loosers group voice...
Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
hata Simba Queens ya wadada wa Simba ilishiriki michuano iliyokuwa chini ya CAF, lakini haikuwa inaitwa CAF Champions League wala michuano ya CAFKwan hamjui kuwa zote hizo zpo chini ya CAF
Yanga inamfundishaje simba ktk vitu ambavyo simba ni mkongwe navyo.YANGA SC IMETUFUNDISHA MAHESABU KILA HATUA KIMATAIFA.
Klabu ya Yanga wametengeneza mahesabu makubwa sana kwenye mashindano ya Kombe la Mabingwa Afrika kwa kumaliza kinara wa kundi lake akiwa na alama 13.
Jambo hilo ni historia kwao na kwa Taifa kwa ujumla licha ya kwamba Simba aliwahi kuongoza Kundi Ligi ya Mabingwa Afrika mbele ya Al Ahly.
Kwenye mahesabu wamepata faida mbili kubwa, Yanga wamepata faida ya kwanza ni kutokutana na waliomaliza nafasi ya kwanza katika makundi ikiwa watamaliza hivyo.
Faida ya pili ni kuanzia ugenini na kumalizia nyumbani mchezo wa robo fainali. Sio kila klabu imeweza msimu huu.
Yanga imechukua alama 6 muhimu kwa TP Mazembe na kuwa klabu ya kwanza kutoka Tanzania kupata ushindi kwenye dimba la TP Mazembe. Yanga wameonesha kuwa wao ni bora sana popote wana shinda.
Yanga inatengeneza bond kubwa na CAF kwa kasi mno. Jitihada za GSM, wanachama mpaka mashabiki wameamua kuwa pamoja kutafuta mafanikio zaidi kimataifa, wachezaji wanajituma sana dimbani.
TP Mazembe walifanya kila kitu lakini Young Africans walifanya kila kitu kwa usahihi! approach nzuri imewapa matokeo. Yanga wamefanya vizuri sana kwenye hatua ya Makundi, hii ni kutokana na ubora wa kikosi chao.
NB: Maendeleo hayana Chama ...sisi wanasimba tujifunze kitu
View attachment 2577610
Kwa hiyo hata kama wote shuleni ni wanafunzi ndiyo kigezo tosha kusema wote wanasoma darasa la saba?.Punguza mahaba yako na timu yako uujue ukweli. Point anazokusanya simba ni nyingi kuliko anazopata yanga kwa level hiyo tu ya kuingia robo.Dunduka ....Yote ni michuano ya CAF
Umetisha.Hivi aliyemnunulia Chura smartphone ni nani aisee achukue smartphone yake chap......, huyu anaonyesha ndo mwenye akili zaidi pale Utopoloni mpaka akajua Yanga inacheza CAF CHAMPIONS LEAGUE sio Losses Cup......., Hata kama tunajua Hamna Utopolo mweye akili bhas jaribuni kuficha umbumbunbu wenu[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Simba ndio alikuwa wakwanza kuongoza kundi yanga ndio kafatia, je nani kajifunza kwa mwenzie?Mimi ni mwana Simba halisi lkn lazima tuwe wakweli
ndugu ulimwengu huu,binadamu hawana huruma...hawana kabisaNa bado wakapangiwa wydadi....Dunia sio fair
Tayari ushajadili hapoKujadili nyuzi za ma looser ni kupoteza muda. Watu wako busy na kutaka kujua nani atakutana na nani klabu bingwa nyie mnakuja na nyuzi za kombe la ma looser. Tumechoka mtupumzishe
Pole sana mkuuKwa hiyo hata kama wote shuleni ni wanafunzi ndiyo kigezo tosha kusema wote wanasoma darasa la saba?.Punguza mahaba yako na timu yako uujue ukweli. Point anazokusanya simba ni nyingi kuliko anazopata yanga kwa level hiyo tu ya kuingia robo.
Kumbuka now tupo kwenye modern footballSIMBA KAMTOA ZAMALECK BINGWA MTETEZI NYUMBANI KWAO MISRI 2003.
1. Juma kaseja.
2. Said swedi.
3. Ramadhani waso.
4. Victor Costa.
5. Boniface pawasa.
6. Christofer Alex.
7. Yusuph Macho.
8. Suleiman MATOLA.
9. Emanuel Gabliel.
10. Otman Machupa.
11. Ulmboka mwakingwe.
Atakuwa widad????