Yanga sc inayoongozwa na wahuni (masela) ndiyo timu yenye mafanikio makubwa ya kubeba makombe

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Unaposema Yanga imejaa wahuni (masela) tazama mafanikio yao pia.

Imetoboa fainali kitaifa.
Imechukua kombe Nbcpl
Imechukua kombe la ngao ya jamii
Ipo fainali kombe la Azam (shirikisho)

Uhuni ni kuwabebesha wachezaji VISADO vya sabuni ya unga vya Mo Dewj kuliko kuwabebesha wachezaji makombe.

Nawasilisha hoja.
 
Uhuni si ndio umetumika kushinda vikombe mlivyo navyo!Mbona ujajizima?
 
Kumbe Wewe ni Kijana mdogo Sana. Manji akiwa mwenyekiti aliikodisha yanga Kwa miaka 10. Alitamka hadharani kuwa anaikodisha. Vigezo na masharti mnajua wenyewe uto mlivyokubaliana nae.
Kama alivyofanya Mo dewji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…