Yanga Sc Kama haina matumizi na kibwana Shomari ni Bora wamuuze au wamtoe kwa mkopo katika dirisha dogo ili mashabiki tuburudike na kipaji chake

Kibwana shomari ana kipaji gani mzee zaidi ya kutumia nguvu tu kama kibu denis soka la kisasa linahitaji watu talented beki asist anazitafuta kwa shida hawezi hata kupiga cross nguvu nyingi akili kisoda shabash.
 
Atakuja kucheza tu mbele ya saffari,asubiri kwanza timu ijiweke katika position nzuri,ligi bado mbichi
 
Kibwana shomari ana kipaji gani mzee zaidi ya kutumia nguvu tu kama kibu denis soka la kisasa linahitaji watu talented beki asist anazitafuta kwa shida hawezi hata kupiga cross nguvu nyingi akili kisoda shabash.
Aisee mtu anayekusifu Leo , ndyo huyohuyo wa kuja kukuponda kesho
 
Hivi ni lazima uanzishe nyuzi JF kila siku?kwani kuna Mashindano humu??non sense
 
Hivi ni lazima uanzishe nyuzi JF kila siku?kwani kuna Mashindano humu??non sense
Jikite KWENYE HOJA mpumbavu wewe suala la KUANZISHA nyuzi hata wewe unaweza KUANZISHA kwani humu hakuna limit so usipangie watu Kama JF ya baba ako.
 
Beki ikiwa na kIBWANA INARUHUSU SANA magoli
 
we sio kocha mwache kocha wa yanga afanye kazi yake
 
Uko sahihi kibwana ni hazina yeye na Farid Musa ningetarajia kuwaona wakiingia kucheza
 
Jikite KWENYE HOJA mpumbavu wewe suala la KUANZISHA nyuzi hata wewe unaweza KUANZISHA kwani humu hakuna limit so usipangie watu Kama JF ya baba ako.
Wale wanafunzi wa DODOMA MEDIA COLLEGE uliolalamika wanaishi Hostel moja na wanaume wanaendeleaje??maana nyuzi zako zimejaa UHARO tu
 
Mechi zote job alizocheza namba mbili kibwana akuwepo ata bench na Kuna mechi pia Yao akuwepo Wala kibwana akuwepo pia
 
Mechi zote job alizocheza namba mbili kibwana akuwepo ata bench na Kuna mechi pia Yao akuwepo Wala kibwana akuwepo pia
Kibwana alikuwa anabebwa na Nabi tu,....,Ile fainali ya Kwanza Dar...uliona Waarabu walivyokuwa wanamfanya beki ya kushoto....! lkn fainali ya pili Nabia alivyoamua kwenda na Lomalisa Beki ya kushoto wale Waarabu walikubali mziki...

Mpira ni Science ckuiz sio kukaba mpaka unajikaba mwenyewe....Beki tatu hugeuka Mshambuliaji ktk mifumo ya Mpira...

Kibwana hana namba Yanga ya Gamondi kwa uchezaji wake ule.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Kwani unamlipa mshahara?

Amekulalamikia kuwa kipaji kinakufa?

Mazoezini akicheza inatosha.
 
Alisema Kazini kwake kuna kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…