Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha, angemuulizia Farid Musa Malick huyu dogo sijui yuko wapi na hkn taarifa zakeIko wazi kabisa hii....alafu anatokea mtu analalamika kwa niaba yake...
Ni uzwazwa kweli
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Yupo mazoezini... Wachezaji wakiwa majeruhi au Kocha akifanya rotation atachezaHivi FARID MUSSA MALICK yupo wapi ?
Sijamuona muda, maana nadhani ni yeye tu mpk hajacheza hata mechi moja mpk sasaYupo mazoezini... Wachezaji wakiwa majeruhi au Kocha akifanya rotation atacheza
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Wasubiri Rotation ktk mechi zisizona pressure watacheza Sasa ni kukusanya points kwanza...Sijamuona muda, maana nadhani ni yeye tu mpk hajacheza hata mechi moja mpk sasa