Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Denis Nkane aliumizwa jana na kutolewa nje. Amekwenda kufanyiwa vipimo kujua ukubwa wa jeraha.
Kitu ambacho huenda hukijui ni kuwa, baada ya kutolewa nje ya pitch ililazimika Yanga wacheze pungufu uwanjani (10) kwa sababu sub zilikuwa zimeisha. Licha ya kucheza pungufu lakini sidhani kama wengi wenu mligundua hilo maana waliendelea kudominate game na kumaliza mchezo wakiwa na possession ya 65%.
Yanga walipiga pasi (654)
Kitu kingine ambacho huenda hukijui ni kuwa, Yanga imekuwa timu ya kwanza msimu huu kucheza michezo miwili ya ligi kuu mfululizo na kutoruhusu ON TARGET yoyote kutoka kwa opponent.
Yanga - 9 On target 0 - Polisi
Yanga - 8 On target 0 - Coastal
Pia Djigui Diarra amecheza michezo miwili kwa dakika (180) na kufanya catching mara moja tu. Yaani amecheza michezo miwili kwa zaidi ya 99% kwa kutimia miguu.