kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Yanga wana mpira wa zamani saana ndio maana wanafeli kwenye michuano ya kimataifa
Na tusipo badirika hata wale wa mali tutakwenda nao 0-0 tena kwa mkapa
Kwanini tunapenda mpira wa short pass
Kwanini tunapenda mpira wa ball possesion
Wewe uko ugenini kwanini tucheze mpira wa ball possion kupenda kupiga short pass
Mambo ya possesion haya tuachane nayo siku hizi hakuna vya mpira mzuri kizuri ni matokeo tu
Kwa fasalfa yangu mimi pale tulitakiwa tucheze long pass kwa kupiga mpira mbele tu na kutafuta makosa ya kibinadamu.
Unapokuwa unapiga mpira mbele hata wale maadui zako watakuwa wanaogopa kupanda kuja kushambulia kwa wingi.