Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi
[emoji115] [emoji115] uzi wa ndugu yetu mshana aliwahi sema bahari ni kiboko ya wachawi.
Uongozi wa Yanga umesema kikosi chao kitaweka kambi Pemba, Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba, Agosti 23
Kumekuwa na kasumba kila Dar derby ikitaka kufika yanga inakimbilia kuweka kambi Pemba huku wenzao simba wakienda Bagamoyo.
Nawakumbusha tu yanga .