Yanga SC msingewafunga Singida United Leo.. Dunia Ingesimama.

Kuhusu 1 na 2 nilikua naeleza ni jinsi gani timu ilivyo na ukata mkubwa kwa sasa.. Hivyo ikawa rahisi kwa Ndala siku ya jana kutembeza miamala.
Kuhusu 3, msimu uliopita timu ilikua chini ya kocha makini Hans, ambae pamoja na kugoma kuintataini 'upuuzi' aliokua akiletewa, pia alitaka kuiprove timu yake ya zamani kua bado yeye ni kocha bora.. Ndo mana alikua akikutana na Ndala anajipigia tu. Tofauti na hali ilivyo sasa.
 
Ajibu akija leo Simba anasugua benchi kama kawaida, ndio maana aliona bora akimbilie Yanga hakuna viwango kama chake.
 
Yaonyesha wewe kida katika soka. Simba amefika Nusu Fainali Klabu Bingwa Barani Afrika.

Amefika Fainali Kombe la Shirikisho, zamani (Caf)

Nitajie Yanga imefika wapi kwenye michuano hii mikubwa Afrika kama IQ yako inafanya kazi.

Karibu...!
Hiyo nusu fainali ya club bingwa simba ilicheza mwaka gani...??? Ilicheza na timu gani..??? Hizi ndoto za alasir mbaya sana.
 
Ni kweli Mkuu.. Sisi wengine tunapambana dk 90, kwa nguvu na akili nyingi na tunatoka na ushindi wa kihalali lakini kwenu ni mambo ya Rose Muhando. Ila si mbaya 30/09 tutakata ngebe zenu.
Baada ya Mbao FC kugomea msiingie kwenye change room zao naona mmekuwa wenye kuweweseka sana.

Tuliza mwanya ifike hiyo trh 30
 
Hahaaaa lete ushahidi mkuu
Hahaha... Mkuu nipo mezani hapa namalizia kuyapanga haya kafaili.. Kesho mapema tu, nitaukabidhi ofisi husika.. Jambo la msingi kwako ni wewe kua karibu na vyombo vyote vya habari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulichokiandika hakina logic hakina points, maandishi yako yamebebwa na CHUKI na GERE dhidi ya mafanikio aliyonayo Simba SC kwa sasa.
Gabachori anawadai bilioni 6 nani atamlipa???unauza nyumba ukaweke heshima bar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…