Prince_Nurudin_Tz
Senior Member
- Jun 28, 2024
- 172
- 133
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia siku ya jumanne Mabadiliko haya yametangazwa siku ya jumanne jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.