Prince_Nurudin_Tz
Senior Member
- Jun 28, 2024
- 172
- 133
Kumbe ulefu na ufupi ni kipajiDuu ujinga ni kipaji kama ulivyo urefu na ufupi
According to Mwalimu JK nyerere sio mmKumbe ulefu na ufupi ni kipaji
Mm nilikuwa sijui
Ahsante kwa kuniambia kiongozi
Rekodi kubwa sana hiiKampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia siku ya jumanne Mabadiliko haya yametangazwa siku ya jumanne jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.
Umeona EeeeRekodi kubwa sana hii
Hili ni bonge la li ubunifu aiseeSema Kuna mda waandishi wanakosa kabisa ubunifu
Ile nyimbo ya hormoniz huku kwetu hatuisikiiAccording to Mwalimu JK nyerere sio mm
jf Kuna watoto weng sana sikuhizHili ni bonge la li ubunifu aisee
Nani kakuambia urefu au ufupi ni kipaji.Duu ujinga ni kipaji kama ulivyo urefu na ufupi
Kwa hiyo unakiamini Kila alichokisema Nyerere. Je, angesema kinyesi chako ni chakula ungekula?According to Mwalimu JK nyerere sio mm
Hakuna niliposema na amini ni quote tu, so is up to you to take it or not.Kwa hiyo unakiamini Kila alichokisema Nyerere. Je, angesema kinyesi chako ni chakula ungekula?
Tafadhali badilika. Tuma akili yako mwenyewe wakati mwingine
Sio yeye tu wapo wengi ata umu jfKwa hiyo unakiamini Kila alichokisema Nyerere. Je, angesema kinyesi chako ni chakula ungekula?
Tafadhali badilika. Tuma akili yako mwenyewe wakati mwingine.
Kama ni kweli basi wamezingua