Yanga SC ni mbovu

Yanga SC ni mbovu

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!
Kwa mchezo na matokeo ya leo ya Yanga dhidi ya Ken Gold ni dhahiri ya kwamba yanga ni timu mbovu sana.

Na leo imedhihirisha hizo timu Yanga alizocheza nazo za club bingwa CBE SA na Vital O ni matimu mabovu kuliko hata Keny Gold. Ken Gold amezulumiwa gold la wazi ingrkuwa draw.

Club bingwa Yanga atashika mkia kwenye kundi..tupo hapa

Soma Pia: FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024
 
Back
Top Bottom