Yanga SC tayari imeshafungwa na Mbu huko Gaborone nchini Botswana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Huwa najiuliza sana ni kwanini baadhi ya Watu hupenda Kuuliza kwamba hivi ni nani ameturoga Sisi Watanzania na nikawa hadi nahisi kuwa pengine hao Watu walikuwa tu wanawasingia Watanzania ila kwa hili lililotokaea jana huko nchini Botswana nimeanza kuwaelewa.

Yaani Kiongozi mzima tena wa juu ndani ya msafara wa Klabu ya Yanga ulioenda katika mechi yake ya marudiano dhidi ya Township Rollers FC ya nchini Botswana bila hata haya kama siyo aibu anaanza kuleta ' visingizio ' kuwa kama Yanga SC itafungwa ( japo wenye akili tumeshajua kuwa wameshatolewa ) basi sababu kubwa itakuwa ni uwingi wa Mbu waliowakuta huko.

Hivi jamani tukiacha ' Unafiki ' kuna Klabu ambayo hapa Tanzania inafuga Mbu wengi katika Mabwawa yake mawili moja la ndani ya Uwanja wa Kaunda na lingine nje ya Uwanja eneo ' twamishi ' la Jagwani kama ya Yanga SC? Hivi tukisema kwamba huenda hata hao Mbu wenyewe wanaolalamikiwa na Yanga SC wametoka nao huku huku Kaunda Stadium wa walikuwa wamejihifadhi tu katika Mabegi ya Wachezaji wa Yanga SC na hasa hasa la Chirwa, Ajib na Yondani na waliobaki walijificha katika ' mtumbo ' mkubwa wa Kocha wao Lwandamina?

Natamani kweli niwajue na niwaone hao Mbu ' mahiri ' wa Gaborone nchini Botswana.

Nawasilisha.
 
IMG_20180315_103257_401.jpg
Walipotua Airport waliona basi la blue wakadhani ni Mbao FC.. Hadi walipoeleweshwa ndo wakapanda kwenda hotelini [emoji3][emoji3]
 
View attachment 715338Walipotua Airport waliona basi la blue wakadhani ni Mbao FC.. Hadi walipoeleweshwa ndo wakapanda kwenda hotelini [emoji3][emoji3]

Kwa hayo mabegi ya ' Kichovu ' unayoyaona hapo Pichani hao Mbu wa kutoka Kaunda Stadium wataacha kuambatana nao hadi huko Gaborone nchini Botswana?
 
Frustration za Stendi United hazijawahi kumuacha mtu salama.

Simba 3-3 Stendi United

Yanga 3-1 Stendi United
Mkuu yani hawa huwaamini kabisa tumewafunga wale waliowashindwa wao. Ni hali tu kutaka kuwaharibia na mashabiki concentration ya timu yetu pendwa Young Africans. Walianza kusingizia tulipanga matokeo kwa kujitengenezea vimeseji vya ajabu vya wachezaji. Sa ona walichokuja nacho.

We pambana na timu yako mwarabu anakuramba *****
 
Huwa najiuliza sana ni kwanini baadhi ya Watu hupenda Kuuliza kwamba hivi ni nani ameturoga Sisi Watanzania na nikawa hadi nahisi kuwa pengine hao Watu walikuwa tu wanawasingia Watanzania ila kwa hili lililotokaea jana huko nchini Botswana nimeanza kuwaelewa.

Yaani Kiongozi mzima tena wa juu ndani ya msafara wa Klabu ya Yanga ulioenda katika mechi yake ya marudiano dhidi ya Township Rollers FC ya nchini Botswana bila hata haya kama siyo aibu anaanza kuleta ' visingizio ' kuwa kama Yanga SC itafungwa ( japo wenye akili tumeshajua kuwa wameshatolewa ) basi sababu kubwa itakuwa ni uwingi wa Mbu waliowakuta huko.

Hivi jamani tukiacha ' Unafiki ' kuna Klabu ambayo hapa Tanzania inafuga Mbu wengi katika Mabwawa yake mawili moja la ndani ya Uwanja wa Kaunda na lingine nje ya Uwanja eneo ' twamishi ' la Jagwani kama ya Yanga SC? Hivi tukisema kwamba huenda hata hao Mbu wenyewe wanaolalamikiwa na Yanga SC wametoka nao huku huku Kaunda Stadium wa walikuwa wamejihifadhi tu katika Mabegi ya Wachezaji wa Yanga SC na hasa hasa la Chirwa, Ajib na Yondani na waliobaki walijificha katika ' mtumbo ' mkubwa wa Kocha wao Lwandamina?

Natamani kweli niwajue na niwaone hao Mbu ' mahiri ' wa Gaborone nchini Botswana.

Nawasilisha.
Mikia buana, hamkosi la kusema!
 
Wanahara kwa hofu ya kukosa ubingwa. Around this time for the past 3 yrs magazeti hupambwa na famous headline...YANGA YAIPUMULIA SIMBA KISOGONI, na mwisho wa msimu Yanga Bingwa.

Mara Yanga hoi, wameshindwa kulipa mishahara Chirwa kagoma kufunga...!
Mara Yanga wananunua mechi...! Sasa unajiuliza km kauli hizi zinatoka upande huo huo, kuna mwenye akili ya kuandika barua FIFA wakaielewa?

14596698_326735594368052_1950081655381164032_n.jpg

14992022_1244127955651660_4466742213716086876_n.jpg

15032214_1244128795651576_5112309606128756786_n.jpg

Nyakati zake hizi...na mwaka huu watavaa pichu kichwani
 
Ahaaahaa Shimbwa, kazi kweli kweli.
 
Mkuu hiyo story ya Yanga kuipumulia Simba kisogoni nilidhani ni porojo kumbe kweli imeandikwa tena kwenye gazeti pendwa Mwananchi. Daah!!
 
Back
Top Bottom