Yanga SC tayari imeshafungwa na Mbu huko Gaborone nchini Botswana

Yanga akipigwa na mbu, c atarudi kwenye makundi ya wababe wa Thimbwa
 
Mkuu hiyo story ya Yanga kuipumulia Simba kisogoni nilidhani ni porojo kumbe kweli imeandikwa tena kwenye gazeti pendwa Mwananchi. Daah!!
Na si kwamba imeandikwa msimu mmoja, si unawajua Yanga kwa kunyapianyapia...sisi tunaongoza weeeeeeee, halafu mzee baba anakuja kumalizia na kusepa na NDOO

Kiukweli mimi ni Simba Dam, lakini Yanga nyoko jamani!
 
Waarabu lazma tulipize kisasi cha kutuzimia umeme na mvua kwa wakati mmoja
 
 
[HASHTAG]#NdalaFC[/HASHTAG] Leo Haki Ya Nani Analiwa Mkono
 
Game ipi unayoulizia ya Mwanamume kule Egypt au ile ya Wanawake huko Botswana?
Kumbe unajua Egypt kuna wanaume na bado mkaenda, ili tu mkaimbiwe Habiby Habiby....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mkimaliza ziara yenu ya kutembelea wanaume mrudi nyumbani tuna mazungumzo, maana wakati wa kutoa gazeti umefika. Misimu mi3 iliyopita ilikuwa
 
Match it will start 10:45

Siyo lazima sana tuandike kwa Kiingereza halafu ' tujiabishe ' hivi. Kwani ungesema tu kuwa mtanange / mchezo huo utachezwa Saa 10 na dakika 45 usingeeleweka? Katika Kiingereza huwa hakuna sentensi kama hiyo yako uliyoandika hapo ya " Match it will start 10:45 " bali kuna sentensi ya " match will kick off at 10:45 pm ". Na mara nyingi katika Michezo huwa huwa hatutumii sana neno ' start ' badala yake hutumika sana neno la ' kick off '. Bado nasisitiza tupende sana kutumia Lugha yetu hii ya Kiswahili ambayo ni nzuri na hata Mimi GENTAMYCINE naipenda mno na Kiingereza tuwaachie wenyewe kwani hata Mimi ' nakiogopa ' vile vile. Halafu Wewe unaonekana ni ' Mshabiki ' wa Yanga SC ambao wengi wao Kiingereza Kwao ni Mtihani mzito. Hamia kwa Simba SC tukufundishe Kiingereza Mkuu. Halafu kabla sijasahau huo muda wako uliotuwekea hapo wa 10:45 unamaanisha Saa 10 na dakika 45 ya Kimadafu / Kiswahili au unamaanisha Saa 4 na dakika 45 usiku?

Kila la kheri.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…