Yanga SC Vs Club Africain

mpiga era

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
2,078
Reaction score
2,266
Nani ataibuka kidedea ngoja tusubiri mbungi

Nawaona Club Africain wakioga mvua ya magoli

===
Mchezo huu wa kwanza wa kutafuta mafasi ya kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho unafanyika uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
 
Kilichowapata Kipanga fc ndicho kitakachowapata Utopolo fc watakapoenda Tunisia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…