Kama Mikia janaYanga wanapigwa leo.
Wapigwe tu mkuu maana hamna namnaYanga wanapigwa leo.
VyuraaaaaaaaaaaaaaaaKama Mikia jana
MikiiiiiaVyuraaaaaaaaaaaaaaaa
Naona vyura mmetangulia na baskeli ya mitiMikiiiiia
Etieee. Ngapi bila?Yanga wanapigwa leo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umejificha wap?Yanga wanapigwa leo.
Nimekuja Kaka ahsante. Leo Stand tunamkalisha.
Kanifurahisha jamaani. Gooli la mapeeeemaaaaaaaMrisho khalfan ngasa ankoooo
Magical control
Hahaha nyuma itokee tu bahati mbaya labda nikoseee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila la kheri Yanga yetu.
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
Endelea kuona hivyo hivyo,Sisi tunasonga mbereeeNaona vyura mmetangulia na baskeli ya miti
zeshchriss Mgagaa na Upwa Prince Kunta , Southern Highland njooni huku wadau yanga yetu iko Uwanjani