Mkuu uwe Unaweka Matokeo basi
😂😂😂Hahaha nyuma itokee tu bahati mbaya labda nikoseee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yanga 1 stand 0Wekeni Matokeo basi wakuu
Nyingi tuNimekuja Kaka ahsante. Leo Stand tunamkalisha.
Yanga anaongoza kwa goli moja. Dk ya 15 sasa.Matokeo vipi?
Saa ya kuondoka usisahau kuaga tuNaona vyura mmetangulia na baskeli ya miti
Utu uzima dawaKanifurahisha jamaani. Gooli la mapeeeemaaaaaaa
Usijali Mkuu.Mkuu uwe Unaweka Matokeo basi
Ngapi ngapi sasaUsijali Mkuu.
Hamtasonga mberee hivi mnamjua kagere au mnaona geree subiri tarehe 30 tumichambulishe mchereeeEndelea kuona hivyo hivyo,Sisi tunasonga mbereee
1-1 nowNgapi ngapi sasa