Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Naona baskeli ya vyuraa imepata pancha stendiSaa ya kuondoka usisahau kuaga tu
Mkuu punguza jazba,wacha hela za Mo ziliweStend wanacheza vizuri kuliko Simba,kumanina zao wale madogo wanakula mishahara mikubwa halafu wanacheza matako
1-1Ngapi ngapi sasa
Usijali bado tuna dk nyingi mbonaMikia wachawi sana[emoji23]
Subira muhimu[emoji3][emoji3]Usijali bado tuna dk nyingi mbona
Kag'w'ere kasawazisha eeh?
Kabisa Mkuu.Subira muhimu[emoji3][emoji3]
Mkia huyo,anazuga tuuUsikate tamaa mapema banaa.
Game yetu hii.
Nimeshafuta na Post yangu atuwache. πππMkia huyo,anazuga tuu
Kweli kabisa gemu yetu hii ila najaribu kuwaza kama stendi wanatutoa jasho hivi nyumbani itakuwaje mbele ya simbaaaaaaaaaaa tarehe 30Usikate tamaa mapema banaa.
Game yetu hii.
Umeona mambo yakeAjib kabadilika sana