Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Timu pendwa ya wananchi imekua na utaratibu wake mzuri, kambi ndani ya nchi ,mechi za kirafiki wanakipiga na Kombaini na teams za ligi daraja la tatu hadi nne.
Jambo jema ila tahadhari yule profesa hayupo tena, mtetemesha manyonyo hayupo, djuma na bangala kama kweli pia. Mmesajil vema ila sasa kubali kataa mnatengeneza team.
Msimu huu msipoangalia nafasi ya 3 inawahusu, na bahasha zimedhibitiwa.
Asanteni.