Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Ila club bingwa CAF round ya pili chaliSimba ilifanikiwa kui nyanyasa Yanga baada ya kumuondoa Manji pale Yanga kupitia Makonda. Kwasasa Yanga iko vizuri haina bakuli, Simba isahau kabisa kuhusu ubingwa kwa hivi karibuni.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Naona CUF ya Lipumba inatrendIla club bingwa cuf round ya pili chali