Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga wakifunga goli wanashangilia CCM CCM CCM CCM sasa watakuelewa hao, hao ndugu zao nao wanaingia na picha ya Mwenyekiti wa CCM . Hizo ni project za CCM za kuwapumbaza Watanganyika.Hizi ni timu pendwa sana kwa watanzania wa rika zote, dini zote na vyama vyote vya siasa. Kwa ushauri wangu msijifungamanishe na vyama siasa na wanasiasa, msijinasibu na dini yeyote kama mnavyofanya sasa. Huo ni ushauri wangu wa kiutu uzima
Nimesikia kombe la Toyota Yanga wanamkabidhi mama Abdul na IIjumaa NI siku rasmi ya dua!!!Yanga wakifunga goli wanashangilia CCM CCM CCM CCM sasa watakuelewa hao, hao ndugu zao nao wanaingia na picha ya Mwenyekiti wa CCM . Hizo ni project za CCM za kuwapumbaza Watanganyika.
CHADEMA SI MUANZISHE TIMU YENU?Hizi ni timu pendwa sana kwa watanzania wa rika zote, dini zote na vyama vyote vya siasa. Kwa ushauri wangu msijifungamanishe na vyama siasa na wanasiasa, msijinasibu na dini yeyote kama mnavyofanya sasa. Huo ni ushauri wangu wa kiutu uzima
KWANI UMELAZIMISHWA KUWA MSHABIKI? NYIE MISUKULE YA MZEE MBOWE NI LAANA KWENYE NCHI YETU AISEEYanga wakifunga goli wanashangilia CCM CCM CCM CCM sasa watakuelewa hao, hao ndugu zao nao wanaingia na picha ya Mwenyekiti wa CCM . Hizo ni project za CCM za kuwapumbaza Watanganyika.
Hizi team ni project ya nchi mzee baba, usidhani zinafanya hayo zenyeweHizi ni timu pendwa sana kwa watanzania wa rika zote, dini zote na vyama vyote vya siasa. Kwa ushauri wangu msijifungamanishe na vyama siasa na wanasiasa, msijinasibu na dini yeyote kama mnavyofanya sasa. Huo ni ushauri wangu wa kiutu uzima
Wewe ni msikule wa yule msagajiKWANI UMELAZIMISHWA KUWA MSHABIKI? NYIE MISUKULE YA MZEE MBOWE NI LAANA KWENYE NCHI YETU AISEE
CCM Wana timu gani zaidi ya kuwa na chawaCHADEMA SI MUANZISHE TIMU YENU?
Tarehe 8 kipigo kipo palepale, walichofanywa Kaizer chiefs ile ni demo tu.Yanga inaelekea kubaya kwasababu imeanza kuharibu mpira wa Tanzania kwa kuchanganya siasa na mpira na udini,kwenye vile vijezi vyao wameweka bendara ya taifa na ishara ya viasharia vya chama chama pinduzi..sasa naona hizi tuhuma zikifikishwa FIFA na mdau yeyote au timu yeyote yanga wanaweza kufungiwa mpira kwa miaka mingi..mfano Kenya imewakuta haya