Yanga,Simba na AZAM hazitakuwa salama kwa Magufuli

Yanga,Simba na AZAM hazitakuwa salama kwa Magufuli

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,697
Yanga kuna Yusuf Manji

AZAM kuna Said Salum Bhakresa
Simba kuna Zakaria Hans Pope

Hawa jamaa walipe kodi za Magufuli halafu waendeshe timu, sijui tutaona, kwanza nasikia Yusuf Manji amekimbia
 
Lakini Mbeya City itakuwa salama. Mabadiliko (positive change) muhimu japo yana gharama yake!
 
Mbeya City,Azam na timu za majeshi zitakuwa timu imara sana kiuchum na zitakuwa kimbilio kwa wachzaj weng wazur wa kibongo na wanje...Sahau kuhusu timu za kariakoo
 
Yanga kuna Yusuf Manji

AZAM kuna Said Salum Bhakresa
Simba kuna Zakaria Hans Pope

Hawa jamaa walipe kodi za Magufuli halafu waendeshe timu, sijui tutaona, kwanza nasikia Yusuf Manji amekimbia

Bila kumdharau mtu, Zakaria Hans Pope sio level ya Bhakresa wala Manji.
 
Ni kweli mkuu Hanspope ni kariba ya dr Magufuli na Ombeni sefue maana videvu vyao wote vina mvi wkt manji hana ndevu.
 
Back
Top Bottom