E ebaeban JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 2,205 Reaction score 2,697 Dec 1, 2015 #1 Yanga kuna Yusuf Manji AZAM kuna Said Salum Bhakresa Simba kuna Zakaria Hans Pope Hawa jamaa walipe kodi za Magufuli halafu waendeshe timu, sijui tutaona, kwanza nasikia Yusuf Manji amekimbia
Yanga kuna Yusuf Manji AZAM kuna Said Salum Bhakresa Simba kuna Zakaria Hans Pope Hawa jamaa walipe kodi za Magufuli halafu waendeshe timu, sijui tutaona, kwanza nasikia Yusuf Manji amekimbia
lukindo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2010 Posts 8,466 Reaction score 9,038 Dec 1, 2015 #2 Lakini Mbeya City itakuwa salama. Mabadiliko (positive change) muhimu japo yana gharama yake!
0021 Senior Member Joined Oct 24, 2012 Posts 160 Reaction score 60 Dec 1, 2015 #3 Mbeya City,Azam na timu za majeshi zitakuwa timu imara sana kiuchum na zitakuwa kimbilio kwa wachzaj weng wazur wa kibongo na wanje...Sahau kuhusu timu za kariakoo
Mbeya City,Azam na timu za majeshi zitakuwa timu imara sana kiuchum na zitakuwa kimbilio kwa wachzaj weng wazur wa kibongo na wanje...Sahau kuhusu timu za kariakoo
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 Dec 1, 2015 #4 ebaeban said: Yanga kuna Yusuf Manji AZAM kuna Said Salum Bhakresa Simba kuna Zakaria Hans Pope Hawa jamaa walipe kodi za Magufuli halafu waendeshe timu, sijui tutaona, kwanza nasikia Yusuf Manji amekimbia Click to expand... Bila kumdharau mtu, Zakaria Hans Pope sio level ya Bhakresa wala Manji.
ebaeban said: Yanga kuna Yusuf Manji AZAM kuna Said Salum Bhakresa Simba kuna Zakaria Hans Pope Hawa jamaa walipe kodi za Magufuli halafu waendeshe timu, sijui tutaona, kwanza nasikia Yusuf Manji amekimbia Click to expand... Bila kumdharau mtu, Zakaria Hans Pope sio level ya Bhakresa wala Manji.
Hansss JF-Expert Member Joined Jul 17, 2015 Posts 2,370 Reaction score 2,723 Dec 1, 2015 #5 Ni kweli mkuu Hanspope ni kariba ya dr Magufuli na Ombeni sefue maana videvu vyao wote vina mvi wkt manji hana ndevu.
Ni kweli mkuu Hanspope ni kariba ya dr Magufuli na Ombeni sefue maana videvu vyao wote vina mvi wkt manji hana ndevu.