Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kauli hii imezungumzwa na Msemaji wa Yanga Ali Kamwe kwa niaba ya wasemaji wengine “Sisi ambao ni vilabu na ambao ndiyo wanufaika sisi Yanga, wenzetu Simba na Azam inatakiwa tumsapoti mama kwa kununua goli ili kuipa hamasa Taifa Stars.”
“Masharti ya kupata pesa hizo ni kila goli tutanunua kwa shilingi milioni 5 lakini tunahitaji magoli kuanzia matatu iwe milioni 15 ambayo kila milioni 5 inatoka kwa kila klabu hizi tatu Simba, Yanga na Azam.”
“Kama magoli hayatafika matatu kwa kila mchezo basi hatutatoa hiyo pesa.”
Soma Pia:

- Goli la mama, Yanga yaingiza milioni 50 kwa kodi za wananchi
- Rais Samia kununua kila goli Tsh. Milioni 5 mechi za Simba, Yanga CAF