pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Naona mashabiki oya oya mtakuja kwa spidi ya SGR kunishambulia na mapanga wengine manati.
Sikilizeni niwaambieni, huo ndio ukweli, mkubali ama mkatae, yanga sio timu ya wachezaji wa ndani ama nje ya nchi kuikimbilia. Je ni mchezaji gani ametoka ama alitoka yanga akaenda kucheza timu kubwa nje ya nchi?
Nimesikia taarifa za Lawi eti yanga wanataka kupindua meza, eti anaenda yanga, nimeishia kucheka na kumskitikia sana huyo kijana na vijana wengine,,nasema wazi huyo akienda yanga ndio mpira wake utaishia huko watu wanafikiri feisal alikua mjinga kupambana hadi na huyo injinia ili aondoke mana anajua yanga kua mchezaji kutokea hapo kwenda kuchezea timu nzur zaid ni ndoto za alinacha labda ulazimishe ama usubirie mkataba uishe au kama ulikuja kwa mkopo kama Fiston mayele.
Pia naamini pasi na shaka aziz ki akivuta mashisha yake atakua anajilaumu sana kuongeza mkataba bora angeenda kucheza sehemu nyingine nje ya tanzania, sasa wamemdanganya kua utakua supastaa wa hapa bongo utaliliwa na madem na akapewa hadi jishangaz hamisa wamemdanganya, hata Pacome anatamani kuja Simba Sports Club anajuta saivi..muone mtu kama kibwana shomari naamin atakua anajuta nakulia machoz kila siku kwa kukubali kuja yanga, Mzinze badala mdogo wangu ungeweka ngumu umewekewa mabilioni mezani, kama kawaida ya yanga kuwazibia rizki wachezaji ukaamua kuwasikiliza.
Embu ona Simba jinsi ilivyo na utu wema na roho isiyo kua ya husda katka kuwaachia wachezaji wakatafute malisho mapya pale ofa NONO inapokuja mezani, ndio mana kila siku inabarikiwa na wachezaji wazuri zaidi na kipindi hiki timu hii ni TISHIO. Embu ona hadi sasa Kaizer Chiefs, Wyadad, Pirates, na timu nyingine kubwa zimeanza kubisha hodi kuulizia wachezaji.
KALAGABAHO!