JERI MURO pekee ndiye aliyeweza kutengeneza hamasa katika tiumu na mpaka aka influence wachezaji kucheza kwa bidii na kujitoa zaidi, mashabiki walivutika kuja kuona kampa kampa tena illussion iliyoitengeneza. Mabishano makali na kebehi nje na ndani ya uwanja na ailiweza kupambana na kumzimisha kabisa HAJI MANARA na timu yake. Sasa manara kabaki peke yake na anajizolea umaarufu mkubwa kwa kuwa hana mpinzani na kila anachoongea hakijibiwi.Simba na yanga kwa asili yake lazima kuwepo na msema hovyo ukileta diplomasia timu itadhoofika mpaka kiuchumi na mashabiki wote watakimbia. Wamwajiri comedian MBOTO au STIV nyerere hao ndio wawe wahamasishaji bila hivyo imbombo ngafu